&

Hukumu Ya Nafsi

0 Ratings

Katika siku za karibuni, waandishi chipukizi wamekuwa wakinoa meno yao, wengine wakikwea katika fani hii hadi wakachapishiwa kazi zao na mashirika maarufu nchini. Hata katika Diwani hii ya Hukumu ya Nafsi na Hadithi Nyingine, tunapata kuwa wengi wa walioshiriki katika mradi huu ni waandishi chipukizi wanaoamini uwezo na vipawa vyao, wakasuka hadithi hadi zikasukika. Wengi

Add to BookShelf

 • Genre:
 • Originally Published:
 • Hardcover:
 • Language:
  ,

Overview

Katika siku za karibuni, waandishi chipukizi wamekuwa wakinoa meno yao, wengine wakikwea katika fani hii hadi wakachapishiwa kazi zao na mashirika maarufu nchini. Hata katika Diwani hii ya Hukumu ya Nafsi na Hadithi Nyingine, tunapata kuwa wengi wa walioshiriki katika mradi huu ni waandishi chipukizi wanaoamini uwezo na vipawa vyao, wakasuka hadithi hadi zikasukika. Wengi wao ni wanachama wa CHAWAKAMA. Wakiongozwa na ari ya kuwaelimisha wasomaji pamoja na kuwaburudisha, waandishi hawa wamekuja pamoja na kufanya kati ya kazi nzuri zaidi za fasihi zilizowahi kufanywa. Hadithi zinavutia na kuelimisha, zikigusia masuala mbalimbali katika jamii ya kisasa, pamoja na kuimulika jamii inavyofaa. Kazi hii ikifanywa kwa uzoefu mkubwa hivi kwamba inavutia kila anayetaka kusoma. Si hadithi za kuachika hizi bila kusoma, ukianza ya kwanza, huachi hadi ukamaliza

BOOK DETAILS
 • Hardcover:
 • Publisher:
 • Language: ,
 • ISBN-10:
 • Dimensions:
Customer Reviews

Average customer rating

0 Ratings
Be the first to review “Hukumu Ya Nafsi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

There are no reviews yet.

BOOKS BY &

SHARE THIS BOOK

Registration

Forgotten Password?

%d bloggers like this: