&

Kuzitandua Tandabui

0 Ratings

Uturoho na Nyorita wameenda Mlima Bitoche na kutafuta vitovu kadhaa vya vinyonga. Watavitumia kuunda sumu kali kuwaua wananchi wa vijiji viwili walio kizungumkuti kwa wao
kuoana, kwa sababu hawa wawili wanatoka makabila tofauti. “…kuna aina mbili za mvua ambazo watu hawatamani kunyeshewa. Ya kwanza ni mvua inayonyesha pamoja na mawe. Hii inaua mimea. Ya pili ni

Add to BookShelf

 • Genre:
 • Originally Published:
 • Hardcover:
 • Language:
  ,

Overview

Uturoho na Nyorita wameenda Mlima Bitoche na kutafuta vitovu kadhaa vya vinyonga. Watavitumia kuunda sumu kali kuwaua wananchi wa vijiji viwili walio kizungumkuti kwa wao
kuoana, kwa sababu hawa wawili wanatoka makabila tofauti.
“…kuna aina mbili za mvua ambazo watu hawatamani kunyeshewa. Ya kwanza ni mvua inayonyesha pamoja na mawe. Hii inaua mimea. Ya pili ni mvua ya jasho na mawe. Hii huwaua wahalifu wengi chini ya mwavuli wa mapigo ya kipopo. Mvua hiyo ya pili itatunyeshea kwa wingi leo…Damu inaenda kumwagika kama kwamba ni gilasi iliyopinduliwa…”
Je Uturoho na Nyorita, waliuliwa? Walifaulu kuoana? Ukabila nchini Rikafa uliisha?
Riwaya ya Kuzitandua Tandabui imeandikwa kwa utamu wa aina yake, kuelezea hadithi ya Uturoho na Nyorita wakithubutu kuondoa ukabila nchini Rikafa. Pata nakala yako ujue yote yaliyojiri.
Kuhusu Mwandishi wa Matini Chanzi
Mzaliwa 1997, Bonface Isaboke Nyamweya ni mwandishi Mkenya chipukizi. Amehitimu shahada ya falsa kutoka Chuo Kikuu cha Urbaniana, Roma. Sasa hivi, yeye ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Nairobi, anakosomea taaluma ya Sheria. Pia, ni mwanafunzi katika Catholic University of Eastern Africa anakosomea Uzamili katika Falsafa. Peeling the Cobwebs ndiyo riwaya yake ya
kwanza kuchapishwa kama matini chanzi kwa Kiingereza. Kupitia kwa mfasiri Kelvin Motuka, hii tafsiri imekamilika kwa lugha ya Kiswahili mufti kwa anwani: Kuzitandua tandabui .

BOOK DETAILS
 • Hardcover:
 • Publisher:
 • Language: ,
 • ISBN-10:
 • Dimensions:
Customer Reviews

Average customer rating

0 Ratings
Be the first to review “Kuzitandua Tandabui”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

There are no reviews yet.

BOOKS BY &

SHARE THIS BOOK

Registration

Forgotten Password?

%d bloggers like this: